Friday, June 17, 2011

TAFAKARI YA NDUGU

Piga raundi mwenda mtaani
Niambie unacheki mambo gani
Ndoto za kujali halimashauri
ziliishia kwenye chupa ya beer pale Shauri
Moyo
Kijana amelewa hata atalala wapi
mtoi wake amekasirika juu amevunja ahadi
alimshow ati ataquit alcohol
strategy yake tu ni venye atadodge alcoblow
Matha na yeye anadai anaenda meeting ya chama
kumbe ameenda kumeet na clande yake mchana
Generation yetu inadai hakuna works
lakini strategy ni mob za ku-make hizi bucks
watu wanaogopa kuget their hands dirty
but wanataka kukuwa millionaires before wafike thirty
Chali anajaribu kuingiza mtoi wa chuo box
bila kufikiria soon anaweza simama in the docks
akijitetea story ya child molestation
yeye anafikiria tu juu ya Sexual satisfaction
Hizi injustices ni mob siwezi hata zimaliza
intervention tunaneed ni greater hata kuliko miujiza
Wasee flani wanajiongeza mshahara bila aibu
ati juu wanakaa na wanalala kila siku
Ndio hao utawacheki K-street usiku
na wakiulizwa maswali parliament hawaezi jibu
Nakupa moja kati ya mbili ya shida zangu
lakini shida zangu ni mob bado nalilia babangu
juu after hizi vitu zote nimeona na nimehisi
ni yeye ananipea reason yangu ya kuishi
Siwezi forsake bro yangu akiwa kwa njaa na shida
lazima nimek sure poa yeye ameshiba
Najua nimebonga machungu mob nikisisitiza
but baada ya hio yote nataka tu kusema asanteni kuniskiza